• frank@frankpseth.com
  • +255 (0) 713 275 301
  1. VITABU

Usifanye Kosa Hili kwenye Ndoa Yako” ni mfululizo wa vitabu kadhaa (book series), vitakavyokujilia kama Sehemu ya Kwanza, Sehemu ya Pili, n.k.

Mfululizo wa vitabu hivi umelenga kujadili changamoto mbalimbali zinazotokana na NAFASI, MAJUKUMU (WAJIBU) na MAHUSIANO kati ya mke na mume.

Mwandishi kwa vitabu hivi, Dr. Frank P. Seth, amejaribu kueleza VYANZO vya migogoro ya ndoa, namna ya KUEPUKA migogoro na SULUHISHO la migogoro hiyo.

Lengo hasa la mwandishi ni kuongeza MAARIFA juu ya mambo muhimu yawapasayo wanandoa kujui ili kuboresha MAHUSIANO yao na kuongeza MAFANIKIO ya mwanandoa mmoja mmoja na ya familia nzima kwa ujumla.

Unaweza kupata “Sehemu ya Kwanza” (Part One) na “Sehemu ya Pili” (Part Two) kwa kupiga simu namba 0713 275 301.

 

i. Usifanye Kosa Hili kwenye Ndoa yako, Sehemu ya Kwanza, MISINGI ya NDOA

 

ii. Usifanye Kosa Hili kwenye Ndoa yako, Sehemu ya Pili, JIPAMBANUE

 

 

MAHALI pa KUVIPATA VITABI HIVI:-

–> Wasiliana na MUUZAJI kabla ya kwenda…

 

i. HOUSE OF WISDOM BOOKSHOP

HNC – House karibu na Extelecom building,

1st Floor, Samora Avenue (Mtaa wa Samora),

Dar es Salaam.

Simu: 0715 – 737 332

 

ii. HOUSE OF BOOKS

K.K.K.T Usharika wa KIMARA,

Kimara – Korogwe,

Kabla ya kuingia GETI la Kanisa (parking) kuna Bookshop pale.

Simu: 0754 – 674 262

 

iii. K.K.T Usharika wa KARIAKOO

Kwenye lango Kuu (Gate la Kanisa kwa ndani),

Kuna MEZA ya kuuzia vitabu.

Simu: 0768 – 510 142

 

iv. CHRIST BOOKSHOP

DPC – Church,

Karibu na TX – Market, Kinondoni

Bookshop inatazamana na GETI LA KANISA DPC

Simu: 0714 – 811 826

 

v. Kwa Dr. Frank P. Seth

Simu: 0713 – 275 301.

 

NB: Kwa walioko MIKOANI au NJE ya nchi watatumiwa.

 

2. DVDs & CDs

i. The Power of Writing 

“The Power of Writing” ni DVD iliyosheheni maarifa ya kukusaidia wewe unayetamani kuwa MWANDISHI wa vitabu.

Ndani ya DVD hii utajifunza mambo mengi ikiwemo :

  • Thamani ya uandishi/soko la uandishi
  • Uandishi wa kibiashara
  • Namna tofauti za kuandika kitabu
  • Sanaa ya uandishi
  • Matuminzi ya wahusika kwenye hadithi au maudhui ya kitabu
  • Jinsi ya kuandika ili kumvutia msomaji, n.k.

 

ii. Mambo Matano Muhimu ya Kujua ili Kukua Kiuchumi