• frank@frankpseth.com
  • +255 (0) 713 275 301

“Akanena mfano huu; Mtu mmoja alikuwa na mtini umepandwa katika shamba lake la mizabibu; akaenda akitafuta matunda juu yake, asipate.

Read more

Unaweza UKAOA mke mwingine, naam, unaweza KUOLEWA na mume mwingine, lakini HUWEZI kubadili watoto wako WASIWE wako! Hawana mama au baba mwingine, ni wewe tu waliye naye!

Read more

“Tunajua kwamba, katika mambo yote, Mungu hufanya kazi na kuifanikisha pamoja na wote wampendao, yaani wale aliowaita kufuatana na kusudi lake” (Warumi 8:28).

Read more

Kama kuna FUMBO gumu la vijana ni kuwa WATULIVU wakati wa kufanya MAAMUZI ya kuoa au kuolewa!

Read more

Akapanda chomboni, wanafunzi wake wakamfuata. Kukawa msukosuko mkuu baharini, hata chombo kikafunikizwa na mawimbi; naye alikuwa amelala usingizi.  

Read more

Kama kuna vitu vya MUHIMU kwenye NDOA yako ni kuwa na siku MAALUMU za KUTOKA, nyie wawili tu.

Read more

Coming Soon!!

Kitabu kipya ambacho

Read more